+2550658800119

Services

Nguo

Tunashona nguo za aina tofauti kwa bei nafuu sana.

Tunazalisha viatu

Pia tunatengeneza viatu vya ngozi halisi kwa bei nafuu.

Tunazalisha mikoba na mikanda

Pia tunazalisha mikoba kwa watoto na watu wazima.

Tunatoa huduma za printing

Tunaprint mabango ya matangazo, t-shirt nk

Happy Clients
157000
Branches
5
Our Events
5
Awards
10

Welcome

Viwanda vya idara maalum za SMZ ni mkusanyiko wa viwanda vikuu viwili

(VIM)inahusisha kiwanda cha ushoni, ambacho kinashona aina zote za nguo kama vile suti, mashati, suruali, mashuka na foronya , mapazia nk,vile vile tumeongeza huduma ya kutengeneza na kuprint mabango ya matangazo ya aina tofauti, kuprint jezi,mikoba na huduma nyingi zinasohusiana na hizo. kwa upande wa kiwanda cha ngozi kinazalisha viatu, mikoba,mikanda nk.

School bags and belts

We produce different kind of bags according to wishes of our customers .

Printing services

We produce banners for advertisements, also we print sport t-shirt etc

Different kinds of shoes

We produce different kinds of shoes include travota, security shoes , office shoes, school shoes etc.

suites

We produce different kinds of suites include safari suites, kaunda suites etc.

Subscribe

Unaweza ukatufuatilia kupitia mitandao ya kijamii kama vile instagram,youtube na facebook. YOU ARE WELCOME .

.